Attracta

Business Directory

Directory Home / Parenting /

thebetteryou.co.tz

The better you ni platform inayotoa elimu ya masuala ya saikolojia katika ya mambo mbalimbali, kama mapenzi, malezi, uhusiano, sonona, msongo wa mawazo na kujimudu. Mafunzo haya yanapatikana moja kwa moja kupitia vituo mbalimbali vya habari nchini Tanzania, pia yanapatikana kwa semina mbalimbali tunazozifanya hapa nchini. The better you kupitia mwanzilishi wake Mr Jiwa Hassan,O inaandika vitabu mbalimbali kuhusu mambo ya saikolojia. Hasira, Pingu za Fikra, Malengo, Biology Visit site »