Directory Home / Computers /
victory.ac.tz
Shule ya Victory English Medium Pre and Primary School iliyopo wilayani Biharamulo mkoani Kagera ilianzishwa rasmi tarehe 05/01/2011 na kusajiliwa tarehe 29/07/2013 na kupewa namba ya usajili KA.03/7/004 (EM:15556) Ikiwa na darasa moja tu la awali lenye wanafunzi 13 Na kwasasa tuna Jumla ya Wanafunzi 271 Katika Madarasa saba yenye Mkondo Mmoja Mmoja. Visit site »| Tweet |
